Genesis 19:1

Kuangamizwa Kwa Sodoma Na Gomora

1 aMalaika wale wawili wakafika Sodoma wakati wa jioni, naye Lutu alikuwa ameketi kwenye lango la mji. Wakati alipowaona, aliondoka kwenda kuwalaki na kuwasujudia hadi chini.
Copyright information for SwhKC